Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Vizuizi na ushauri wa kusafiri wa serikali
Angalia viunganishi vilivyo hapa chini ili upate maagizo na amri za serikali. Namna serikali inavyoshughulikia janga inaendele kubadilika, kwa hivyo tafadhali angalia mara kwa mara ili upate habari za hivi punde na utegemee serikali yako ya mtaa na ya kitaifa kwa taarifa za sasa hivi.
Pata habari za hivi karibuni za maagizo na amri za serikali kulingana na eneo. Mwitikio wa serikali unaendelea kubadilika, kwa hivyo tafadhali rudi hapa mara kwa mara ili upate habari za hivi karibuni, ikiwemo ushauri wa kusafiri wa Ukrainia.
Polisi wa Paris wataweka vizuizi vya usalama karibu na maeneo ya matukio wakati wa Olimpiki na Olimpiki ya Walemavu. Tafadhali tathmini taarifa iliyo hapa chini ili upange vizuri ukaaji wako.
Polisi wa Paris wataweka vizuizi vya usalama karibu na maeneo ya matukio wakati wa Olimpiki na Olimpiki ya Walemavu. Tafadhali tathmini taarifa iliyo hapa chini ili upange vizuri tukio lako.