Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Unaweza kubadilisha jina la tangazo lako wakati wowote ukipenda, kwa hivyo jisikie huru kulipatia jina linaloangazia kile kinachofanya eneo lako liwe maalumu.
Uwazi husaidia kujenga uaminifu na kuweka matarajio dhahiri kati ya wenyeji na wageni. Kwa kufichua kamera za usalama, vifaa vya kurekodi na vifuatiliaji vya kiwango cha sauti, wenyeji wanaweza kusaidia kuhakikisha wageni wanajua wanachopaswa kutarajia wakati wa ukaaji wao.
Kuweka maelezo ya picha (maandishi mbadala) kwenye picha za tangazo kunaweza kusaidia kuelezea kilicho kwenye picha kwa wageni ambao ni vipofu, wasioona vizuri au ambao hawawezi kupakia picha za tangazo.
Wageni ambao nafasi walizoweka zimethibitishwa watapata eneo na anwani halisi ya tangazo lako. Unaweza kuchagua kuonyesha wageni watarajiwa eneo la jumla au mahususi.
Kuthibitisha matangazo hufanya iwe rahisi kwa wageni kuweka nafasi wakiwa na uhakika. Wenyeji wanaweza kuombwa kuonyesha kwamba tangazo lao ni nyumba halisi, iko mahali sahihi na kwamba wanaweza kufika mahali hapo.
Wageni hawatapokea maelekezo ya kuingia hadi saa 48 kabla ya nafasi waliyoweka kuanza, lakini maelekezo ya kutoka yanapatikana kwa wageni kabla ya kuweka nafasi.
Onyesha eneo lako kwa kuweka picha dhahiri. Unaweza kuburuta picha na kuziweka kwenye mpangilio wowote unaotaka au injini yetu ya AI inaweza kukufanyia hivyo.
Wageni wanatarajia kwamba watakuwa na chaguo la kufunga chumba chao cha kulala au bafu lolote wanaloweza kufikia. Ndiyo sababu tunapendekeza Wenyeji waweke makufuli kwenye vyumba vyovyote vya kulala na mabafu ambayo wageni wanaweza kutumia.
Vyumba ni bora kwa wageni wanaopendelea faragha kidogo, lakini bado wanataka kukutana na mtu mpya na kufurahia eneo hilo kama mkazi. Haya ni baadhi ya mambo ya kuzingatia kabla ya kukaribisha wageni kwenye chumba.
Tafadhali mpe mpiga picha wako taarifa ya angalau saa 24 ya kuratibu upya au kughairi upigaji wa picha zako. Mara baada ya upigaji picha kuanza, fedha haziwezi kurejeshwa.
Mpiga picha wako atakuwa mtu wa eneo husika, mwenye sifa na ana uzoefu wa kupiga picha za ndani. Atahakikisha picha zinawakilisha sehemu yako kwa usahihi.
Pata taarifa kuhusu jinsi ya kupakua picha zako za kiweledi. Kumbuka kuwa ni kwa matumizi yako binafsi tu na hazipaswi kutumiwa kwenye tovuti nyingine ya mali isiyohamishika au ya upangishaji.
Tunatoa huduma za kupigiwa picha za kitaalamu mara moja tu kwa kila tangazo. Upigaji huo wa picha hauwezi kughairiwa au kurejeshewa fedha baada ya kuanza.