Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
rm link spam
d Masahihisho aliyefanya 41.59.84.61 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Super8 Devs
Tag: Rollback
 
(marekebisho 4 ya kati na watumizi wengine 4 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[picha:African_enviroment.jpg|thumbnail|right|200pax|Mazingira ya kiafrika]]
'''Mazingira''' ni jumla ya mambo yote yanayomzuguka [[kiumbe]] katika [[maisha]] yake. Kwa hiyo kila unachokiona ni mazingira yako.
 
Mazingira huweza kuundwa na [[Kitu|vitu]] mbalimbali; yanaweza kuwa ya asili (kama [[misitu]], [[milima]], [[Ziwa|maziwa]], [[bonde|mabonde]], [[mito]], [[bahari]] n.k.) au ya kutengenezwa na [[binadamu]] (kama [[jengo|majengo]], [[kiwanda|viwanda]] n.k.).
Line 5 ⟶ 6:
Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huyaharibu, kama vile [[uchafuzi wa hewa]], [[uchafuzi wa bahari]], [[uchafuzi wa ardhi]], n.k.
 
Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu hali ya [[kilimo]] na, [[ufugaji]] si nzurimvua, hivyon.k. huathiriwa na uchafuzi wa basimazingira. tupandeMazingira hutunzwa kwa njia mbalimbali kama vile kupanda [[miti]] kwa wingi, tutunzekutunza [[Chanzo (mto)|vyanzo vyetu vya maji]], na kutumia [[maji]] vizuri, hasa katika shughuli za kilimo, ili kuliepuka tatizo hili, na pia kumtanguliza [[Mungu]] katika kazi zetu za kilimo na ufugaji za kilala sikuukame.
 
== Kanuni kuhusu ulinzi wa mazingira ==
Nchi mbalimbali zina kanuni za ulinzi wa mazingira. Kwa mfano katika nchi zaya [[Marekani]], kuna [[kanuni]] kuhusu ulinzi wa wanyama wanaokaribia kutoweka. Kanuni hii yaitwaiko katika sheria ya ''Endangered Species Act (ESA)'' iliyopitishwa na [[rais]] [[Richard Nixon]] mwaka 1973. Pia kuna mkataba wa kimataifa uitwao ''Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Flora and Fauna (CITES). Endangered Species Act ilitengenezwa [[mwaka]] [[1973]] na [[rais]] [[Richard Nixon]] alipoona kuwa kuna wanyama wanaopungua kwa haraka sana''.
 
Barani [[Afrika]], ulinzi wa mazingira waendeshwa pia japo kuna [[Jangili|majangili]] wanapenda sana kukiuka [[sheria]] ili wajitajirishe kwa kuwinda wanyama kiharamu.
 
Mstari 16:
* [[Hifadhi ya mazingira]]
* [[Uharibifu wa mazingira]], vitu vinavyoweza kuchafua mazingira kama vile [[viwanda]], [[wanyama]] n.k.
* [[Kujenga mazingira]], [[ujenzi]] wa eneo ili kuwezesha shughuli za [[binadamu]]
* [[Biofizikia ya mazingira]], pamoja na mwingiliano wa [[kemikali]] zinayoathiri [[viumbe hai]]
* [[Mifumo ya mazingira]], maeneo ya [[mfumo]] wa [[kimwili]] ambayo yanaweza kuingiliana na mfumo wa mazingira na kubadilishana [[molekuli]], [[nishati]] n.k.
* [[Sanaa ya mazingira]]
* [[Mazingira pandikizi]]
* [[Sera ya mazingira]]
* [[Saikolojia ya mazingira]]
* [[Ubora wa mazingira]]
* [[Sayansi ya mazingira]], [[utafiti]] wa mwingiliano kati ya hali ya kimwili, kemikali na majumuisho ya vitu vinavyohusu mazingira ya [[biolojia]]
* [[Mfululizo wa mazingira]], LPs, kaseti na CD zinazotoa milio ya asili
* [[Maarifa ya mazingira]]
* [[Mazingira ya asili]], [[viumbe hai]] na visivyo hai ambavyo vimetokea kiasili [[duniani]]
* [[Mazingira ya kijamii]], [[tamaduni]] ambazo mtu hufuata
* [[Ekolojia]], [[ubora]] wa kibiolojia mara kwa mara huchanganywa katika mtazamo wa mazingira kwa ujumla
* [[Harakati za mazingira]]
* [[Uboreshaji wa mazingira]]
* [[Orodha ya masuala ya mazingira]]
* [[Mazingira ya Yesu]]
 
Katika [[sayansi]] ya [[kompyuta]]:
* [[Mazingira ya mezani]], ''graphical user interface'' kwa kompyuta
* [[Mazingira yanayobadilikabadilika]], sera ya kutambulisha mchakato wa kimazingira
* [[Mwingiliano wa maendeleo ya mazingira]], aina ya [[programu]] za kompyuta ya kusaidia katika kuendeleza [[wataalamu]] wa kompyuta ili kutengeneza programu
* [[Mazingira ya wakati]], hali ya [[mashine]] isiyo halisi ambayo inatoa [[huduma]] ya kuprogramu michakato au mipango ya kuprogramu wakati kompyuta ikiendelea kufanya kazi
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.getaway.co.za/environment/conservation-environment/10-endangered-animals-south-africa-can-help/ Wanyama 10 waliohatarini]
* [https://www.nature.org/ourinitiatives/regions/africa/index.htm Mazingira Afrika]
{{wiktionary}}
 
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Ekolojia]]
[[Jamii:WikiForHumanRights 2022 Tanzania]]