Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Mazingira

mazingira ya kiumbe au idadi ya watu

Mazingira kwa ujumla yanahusu eneo linalomzuguka kiumbe. Mazingira huweza kuundwa na vitu mbalimbali.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Pia mazingira haya tunayozungumzia yanaweza kuwa ya asili (kama misitu, milima, maziwa, mabonde, mito, bahari n.k.) au ya kutengenezwa na binadamu (kama majengo, viwanda n.k.).

Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huharibu mazingira kama vile uchafuzi wa hewa, uchafuzi wa bahari n.k. Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu hali ya kilimo na mifugo si nzuri, hivyo basi tupande miti kwa wingi, tutunze vyanzo vyetu vya maji, na kutumia maji vizuri, hasa katika shughuli za kilimo ili kuliepuka tatizo hili na pia kumtanguliza Mungu katika kazi zetu za kilimo na ufugaji za kila siku.

Mazingira yanaweza kumaanisha:

Katika sayansi ya kompyuta:

Tazama pia

 
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.