1970
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1966 |
1967 |
1968 |
1969 |
1970
| 1971
| 1972
| 1973
| 1974
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1970 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 3 Januari - Boay Akonay, mwanariadha wa Tanzania
- 12 Januari - Raekwon, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Januari - Paul Ryan, mwanasiasa kutoka Marekani
- 4 Februari - Simon Pegg, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 7 Machi - Rachel Weisz, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 1 Aprili - Method Man, mwanamuziki wa Marekani
- 9 Mei - Ghostface Killah, mwanamuziki kutoka Marekani
- 26 Juni - Sean Hayes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 6 Julai - Inspectah Deck, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Agosti - Fat Joe, mwanamuziki kutoka Marekani
- 23 Agosti - Jay Mohr, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Agosti - Melissa McCarthy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 31 Agosti – Debbie Gibson
- 7 Oktoba - U-God, mwanamuziki kutoka Marekani
- 8 Oktoba - Matt Damon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 12 Oktoba - Cody Cameron, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Novemba - Diana King, mwimbaji wa kike kutoka Jamaika
- 10 Desemba - Mihai Cătălin Frăţilă, askofu Mkatoliki nchini Romania
- 14 Desemba - Anna Maria Jopek, mwimbaji kutoka Poland
- 23 Desemba - Angela Fuste, mwigizaji filamu kutoka Venezuela
bila tarehe
- Chantal Biya, "First Lady" wa Kamerun
- Tedd Josiah, mwanamuziki kutoka Kenya
- Carola Kinasha, mwanamuziki wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 5 Januari - Max Born, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 2 Februari - Bertrand Russell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1950
- 16 Februari - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 17 Februari - Shmuel Yosef Agnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966
- 12 Mei - Nelly Sachs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966
- 18 Juni - Nicolaas Louw, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1 Agosti - Otto Warburg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931
- 1 Septemba - Francois Mauriac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952
- 18 Septemba - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 24 Oktoba – Richard Hofstadter, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1956
- 21 Novemba - Chandrasekhara Raman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: