Fair use
Fair use ni suala linalokuwa bora kunakili sehemu ndogo ya kitu kilichoundwa na mtu mwingine bila ya kuvunja sheria.
Katika nchi nyingi, vitu vya sanaa na vingine vingi vitengenezwapo, yaani kama vile hadithi, vitabu, vipindi vya TV, na picha, ambazo zinamilikiwa na mtu aliyeziumba. Mtu huyu anaweza kuruhusu mtu mwingine kutumia vile vitu alivyo vitengeneza, ikibidi hata kwa kujipatia fedha.
Mtu anayemiliki vitu hivi yeye ana hatimiliki ya kumiliki vitu hivyo, ikiwa na maana ya kwamba yeye ana uamuzi wake mwenyewe kuwa nani ana stahili kunakili kazi yake.
Endapo mtu mwingine atatokea na kutumia kazi yake bila ya kumwomba miliki kwanza, basi mtu huyo atakuwa ana vunja sheria. Mmiliki anaweza kumfikisha mtu mahakamani na kudai fidia kwa kitendo walichothubutu kukifanya.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fair use kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |