Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Idara

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Idara (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: department) ni sehemu ya wizara ya serikali, taasisi au asasi kubwa inayoshughulikia jambo maalumu.

Muundo wake na taratibu za kazi ni mbalimbali, kadiri ya malengo.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Idara kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.