Karne ya 2
karne
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 1 KK |
Karne ya 1 |
Karne ya 2
| Karne ya 3
| Karne ya 4
| ►
Miaka ya 100 |
Miaka ya 110 |
Miaka ya 120 |
Miaka ya 130 |
Miaka ya 140 |
Miaka ya 150 |
Miaka ya 160 |
Miaka ya 170 |
Miaka ya 180 |
Miaka ya 190
Karne ya 2 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 101 na 200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 101 na kuishia 31 Desemba 200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
Matukio
haririKarne: Karne ya 1 | Karne ya 2 | Karne ya 3 |
Miongo na miaka |
Miaka ya 100 | 100 101 102 103 104 105 106 107 108 109 |
Miaka ya 110 | 110 111 112 113 114 115 116 117 118 119 |
Miaka ya 120 | 120 121 122 123 124 125 126 127 128 129 |
Miaka ya 130 | 130 131 132 133 134 135 136 137 138 139 |
Miaka ya 140 | 140 141 142 143 144 145 146 147 148 149 |
Miaka ya 150 | 150 151 152 153 154 155 156 157 158 159 |
Miaka ya 160 | 160 161 162 163 164 165 166 167 168 169 |
Miaka ya 170 | 170 171 172 173 174 175 176 177 178 179 |
Miaka ya 180 | 180 181 182 183 184 185 186 187 188 189 |
Miaka ya 190 | 190 191 192 193 194 195 196 197 198 199 |
- Dola la Roma linafurahia amani iliyopatikana kuanzia utawala wa Kaisari Augusto na linafikia kilele cha ustawi wake kwa kuteka mji wa Susa (Uajemi)
- Dini mpya ya Ukristo inazidi kuenea haraka ingawa inapitia dhuluma za serikali
- Dola la Axum linajitokeza katika Ethiopia ya leo
- Namna ya kutengeneza karatasi inabuniwa huko China
Watu muhimu
hariri- Kaisari Trajan
- Kaisari Hadrian
- Kaisari Marko Aurelio
- Ignas wa Antiokia, askofu na mfiadini
- Yustino mfiadini, mwanafalsafa
- Polikarpo, askofu na mfiadini
- Irenei wa Lyon, askofu na mwanateolojia