Kina
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Kina inaweza kumaanisha:
- Urefu wa kwenda chini (mfano: kina cha bahari ni mita 6000)
- Kina (fasihi): silabi inayojirudia katika mshororo
- Kina (lugha): inatumika Uhindi
- Watu wa aina moja, kwa mfano: kina mama
- Kitu kuwa na chochote
- Kina (Isiolo): kata ya Kenya
- Kina (sarafu)