Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Nuevo León (León mpya, ufalme wa kale katika Hispania) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Monterrey.

Bendera ya Nuevo León
Mahali pa Nuevo León katika Mexiko

Imepakana na Coahuila, Tamaulipas na San Luis Potosí. Upande wa kaskazini kuna mpeka na Marekani (kilomita 15 pekee).

Jimbo lina wakazi wapatao 4,199,292 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 64,210.

Gavana wa jimbo ni Natividad González Parás.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa

hariri
  1. Monterrey (1,133,814)
  2. Guadalupe (691,931)
  3. San Nicolás de los Garza (476,761)
  4. Santa Catarina (259,896)
  5. San Pedro Garza García (122,009)


 
Nyumba ya wizara katika Nuevo León

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nuevo León kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.