Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Shamu (kwa Kiarabu شام "sham" - kifupi cha بلاد الشام, "bilad ash-sham") ni jina la eneo la kihistoria katika Mashariki ya Kati inayokaliwa leo hii na nchi za Syria, Lebanon, Palestina, Israel na Jordan.

Mipaka ya kijiografia ilikuwa mto Frati na milima ya Anatolia upande wa kaskazini, Bahari ya Mediteranea upande wa magharibi, Misri upande wa kusini na jangwa la Uarabuni upande wa mashariki.

Ni pia jina la kienyeji la mji wa Dameski linalotumiwa mara nyingi nchini Syria.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shamu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.