Shirika
Shirika (kutoka neno la Kiarabu) ni kitu chenye kumilikiwa pamoja au kumilikiwa kwa ubia.
Hivyo linaweza kuwa kitengo kinachojumuishwa na kikundi cha watu wengi, kama vile taasisi ambayo ina lengo lililounganishwa kwa mazingira ya nje; pia chombo au asasi ambayo watu wake wanafanya kazi kwa kushirikiana pamoja kwa lengo la kusimamia na kutekeleza shughuli maalumu walizojipangia na kupata matokeo yatayowanufaisha wote pamoja kutokana na ushirika wao katika kushiriki kwenye shughuli walizojipangia.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shirika kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |