Sita
Sita ni namba ambayo inafuata tano na kutangulia saba. Kwa kawaida inaandikwa 6 lakini VI kwa namba za Kiroma na ٦ kwa zile za Kiarabu.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3.
Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sitini (sita mara kumi).
Marejeo
hariri- The Odd Number 6, JA Todd, Math. Proc. Camb. Phil. Soc. 41 (1945) 66—68
- A Property of the Number Six, Chapter 6, P Cameron, JH v. Lint, Designs, Graphs, Codes and their Links ISBN 0-521-42385-6
- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group (1987): 70–71
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Number 6 Archived 12 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- The Positive Integer 6
- Prime curiosities: 6
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |