Upinzani
Upinzani katika siasa unatokana na vyama vya kisiasa au makundi mengine ambayo hayakubali itikadi au maamuzi ya serikali na chama tawala.
Upinzani unakuwa na kiwango tofauti kadiri ya tofauti zilizojitokeza na hali ya nchi kuwa ya kidemokrasia au ya kiimla[1].
Tanbihi
hariri- ↑ Blondel, J (1997). "Political opposition in the contemporary world". Government and Opposition. 32 (4): 462–486. doi:10.1111/j.1477-7053.1997.tb00441.x. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-05.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |