Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Voronezh (Kirusi: Воронеж) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 848.752. Iko katika mkoa wa Voronezh Oblast.

Voronezh

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Voronezh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.