Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Kiingereza

hariri

Nomino

hariri

Israel

  1. Nchi katika Mashariki ya Kati yenye eneo la takribani kilometa za mraba 20,770. Ipo kwenye mwambao wa Bahari ya Mediterranea.

Idadi ya Watu

hariri

Inakadiriwa kuwa Israel ina idadi ya watu takribani milioni 9.