Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Nematodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Nematodi

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Nusuhimaya: Eumetazoa
(bila tabaka): Bilateria
(bila tabaka): Prostomia
Faila ya juu: Ecdysozoa
Faila: Nematoda
Rudolphi, 1808
Ngazi za chini

Ngeli 2

  • Chromadorea
  • Enoplea

Nematodi au minyoo-kuru ni faila ya minyoo ambayo ni kati ya faila zenye spishi nyingi katika himaya ya wanyama.

Kutofautisha na kuainisha nematodi ni kazi ngumu. Hadi sasa spishi 80,000 zimeelezwa kitaalamu. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya spishi hizo inaweza kufikia nusu milioni. Nematodi wengi ni minyoo midogo myeupe au bila rangi wanayoishi katika mazingira mabichi.

Kati ya nematodi wanaojulikana takriban spishi 15,000 ni za kiparasiti (vimelea) yaani wanaishi ndani ya viumbe wengine. Spishi kadhaa husababisha maradhi mbalimbali ya binadamu. [1]

Mlolongo wa DNA katika uchambuzi wa nematodi umepiga hatua sana, ikiwa ni pamoja na uhusiano na spishi za miti.

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-12. Iliwekwa mnamo 2010-11-08.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nematodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.