Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Shina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:02, 19 Septemba 2015 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Shina la neno ni sehemu ya neno inayotumika kuundia neno jipya.

Kuna aina kuu tatu za mashina neno, nazo ni:

1. Shina sahili ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu moja tu. Mfano: Baba, Mama n.k.

2. Shina ambatano ni aina ya shina lililoundwa kwa mzizi na kiambishi awali cha mtenda. Mfano: pig+a, piga n.k.

3. Shina changamano ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu mbili ambazo ni mzizi wa neno. Mfano Mwana+nchi, Mwana+jeshi, Bata+mzinga n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.