Jacques Paul Migne
Mandhari
(Elekezwa kutoka Migne)
Jacques Paul Migne (Saint-Flour 25 Oktoba 1800 - Paris 24 Oktoba 1875) alikuwa padri kutoka Ufaransa.
Ni maarufu hasa kwa kukusanya na kuchapisha maandishi ya kale ya mababu wa Kanisa na ya mapapa, pamoja na kuandika mwenyewe vitabu vya teolojia.
Matoleo yake maarufu ni hasa Patrologia Latina na Patrologia Graeca.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Maisha ya Jacques Paul Migne Ilihifadhiwa 5 Julai 2004 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)
- Catholic Encyclopedia:Jacques-Paul Migne
- Migne Patrologia Graeca: Orodha ya waandishi
- Faulkner University Patristics Project Ilihifadhiwa 27 Mei 2009 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Documenta Catholica Maandishi PDF kutoka Patrologia Latina
- Maandishi katika Google Book Search