Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Kikwanyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Oshivambo)

Kikwanyama ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Namibia inayozungumzwa na Wakwanyama. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikwanyama imehesabiwa kuwa watu 421,000. Pia kuna wasemaji 247,000 nchini Namibia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwanyama iko katika kundi la R20.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwanyama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.