Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Mfumo wa vyama vingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Vyama vingi)

Mfumo wa vyama vingi katika siasa unashirikisha vyama mbalimbali katika kugombea uongozi wa nchi, tofauti na mfumo wa chama kimoja na ule wa vyama viwili tu [1].

Mara nyingi inatokea kwamba hakuna chama kinachopata kura za kutosha kuendesha serikali peke yake, hivi ni lazima kuiunda kwa ushirikiano wa vyama viwili au zaidi.

  1. Education 2020 definition of multiparty: "A system in which several major and many lesser parties exist, seriously compete for, and actually win public offices."
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa vyama vingi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.