Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Burundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya za Burundi)

Mikoa ya Burundi ni ngazi ya kwanza katika maeneo ya kiutawala ya nchi hii. Burundi imegawiwa kwa mikoa au "IProvense" 18. Kila mkoa umegawiwa kwa tarafa (commune) zenye vitengo vinavyoitwa "colline" yaani vilima.

Hii ni orodha ya Mikoa (kwa Kirundi: IProvense) 18 ya Burundi:

Mkoa Makao makuu Eneo
(km2) [1]
Wakazi
(sensa ya mwaka 2008)[2]
Communes
Burundi Mashariki
Cankuzo Cankuzo 1,964.54 228,873 5
Gitega Gitega 1,978.96 725,223 11
Rutana Rutana 1,959.45 333,510 6
Ruyigi Ruyigi 2,338.88 400,530 7
Burundi Kaskazini
Karuzi Karuzi 1,457.40 436,443 7
Kayanza Kayanza 1,233.24 585,412 9
Kirundo Kirundo 1,703.34 628,256 7
Muyinga Muyinga 1,836.26 632,409 7
Ngozi Ngozi 1,473.86 660,717 9
Burundi Kusini
Bururi Bururi 1,644.68 313,102 6
Makamba Makamba 1,959.60 430,899 6
Rumonge Rumonge 1,079.72 352,026 5
Burundi Magharibi
Bubanza Bubanza 1,089.04 338,023 5
Bujumbura Mjini Bujumbura 86.52 497,166 13
Bujumbura Vijijini Isale, Burundi 1,059.84 464,818 9
Cibitoke Cibitoke 1,635.53 460,435 6
Muramvya Muramvya 695.52 292,589 5
Mwaro Mwaro 839.60 273,143 6


Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Burundi: administrative units, extended". GeoHive. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Law, Gwillim. "Provinces of Burundi". Statoids. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)


Mikoa ya Burundi Bendera ya Burundi
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-