Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Kis S2

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 4

KAMSSA LOWER SECONDARY LEVEL EXAMINATIONS

Lugha ya Kiswahili
SENIOR TWO
END OF YEAR 2022
Saa moja na nusu
Maagizo:
- Jibu maswali yote
- Andika vizuri
SEHEMU A: INSHA (Uamilifu) Alama 15
1. Kuna maneno katika boksi hiyo. Jaza mapengo ili uandike insha nzuri.
Chagua maneno kutoka boksi.

Wazazi, chamsha kinywa, kampala, shuleni, kaka, kanisani, St. Lawrence, rafiki,
mwalimu, Mungu, kukamua, kucheza, kwenda, filamu, osha, salimu, netiboli, kupika,
mwili, mpira wa kandanda, kumi, toka,

Jina langu ni Suluhu. Mimi na…………...wangu tunaishi

jijini……………………nina dada mmoja na …………………mmoja. Ninasomea
shule ya upili………………… baba yangu ni mwanasheria na mama yangu
ni………………………… Ninaamka kila asubuhi,
ninaomba………………nina…………….wazazi wangu,
ninaoga……………..ninapata ……………………na halafu
ninakwenda………………. Shuleni nina ……………….wengi kama Rickie,
Baraka na Uhuru. Mimi na marafiki wangu tunapenda………………michezo
mbalimbali kama;…………………… na………………………… ninarudi nyumbani
saa……………… ninawasalimu wazazi wangu, nina……………..vyombo
na…………..chajio. Wikendi tuna…………malishizoni……………ng’ombe
asubuhi. Jioni mimi na wazazi wangu tunakwenda kuogelea na
tuna……..kama saa mbili usiku. Wakati mwingine huwa nyumbani
tukitazama…………………. Juma pili sote tunaenda ………………kuomba
mungu.

SEHEMU B: INSHA (Ubunifu) Alama 20

1
2. Wewe ni kiranja mkuu shuleni mwako, shuleni kumezuka tabia ya wanafunzi
kujiingiza katika masuala ya ngono kabla ya ndoa. Mwalimu mkuu ameitisha
mkutano wa kiujumla wa wanafunzi, umeombwa kutoa hotuba yako huku
ukionyesha madhara yake.
……………………………………………………………………………………………..………
……………………………………………………………………………………..………………
……………………………………………………………………………..………………………
……………………………………………………………….…..………………………………
………………………………………………………………...…………………………………
…………………………………………………………..…………………………………………
………………………………………………….…………………………………………………
………………………………………….…………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………………
………………….…………………………………………………………………………………
………….………………………………………............................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
........................................................................................................................

3. SEHEMU CH: UFUPISHO /UFAHAMU

Alama 15
Soma na kujibu maswali yafuatayo
Ninaitwa Mackey Kulthum. Ninatoka jijini Mbale. Ninasomea shule ya St.
Lawrence Academy, Schools and Colleges Wakiso Kampala. Nyumbani kwetu
tunafuga wanyama mbalimbali kama; ng’ombe, mbuzi, kondoo na ndege
kama; kuku na bata. Ninaishi Kawempe katika wilaya ya Kampala. Nyumbani,
ninaishi na mama yangu, baba yangu, shangazi Amiina na kaka Norman.
Nyumbani, ninapenda kufanya kazi mbalimbali. Kwa mfano, ninaosha sahani,
vijiko, uma na sufuria. Ninapika chakula, ninafagia nyumba. Ninapatia kuku
chakula. Pia ninatunza watoto. Juma pili mimi na wazazi wangu huenda
kanisani kwa ajili ya maombi.

Maswali:
a) Mackey anaishi wapi?
……………………………………………………………………………………………..
b) Mackey anaishi na nani nyumbani?
……………………………………………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………
c) Andika kazi ambazo Mackey anafanya nyumbani?
i. ……………………………………………………………………………………………
ii. …………………………………………………………………………………………….
iii. ……………………………………………………………………………………………

2
d) Wewe pia, unaishi nyumbani na wazazi wako. Unasaidia wazazi wako
kufanya kazi nyingi. Andika kazi mbili unazofanya nyumbani kwenu.
i. ………………………………………………………………………………………..………
ii. …………………………………………………………………………………………………
e) Ni wanyama gani mnaofuga nyumbani?
……………………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………………..….

SEHEMU D: MATUMIZI YA LUGHA

Alama 15

1. Chagua jibu lililosahihi sana kwa kila swali. (Alama 05)

(i) Hizi ni sehemu/pande za dira.
a. Kaskazini, Mashariki, kusini na Magharibi
b. Kaskazini, Mashariki, kusihi na Magharibi
c. Kaskazini, Maskini, kusini na Magharibi
d. Kaskazini, Mashariki, kusini na Nghariba

(ii) Huu ndio mpango wa siku za wiki kwa kalenda ya kiswahili na Kiarabu;
a. Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa
b. Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili.

(iii) Godoro …………… limeletwa.

a. zake
b. wake
ch. yake
c. lake

(iv) Hawa ni wanyama wa nyumbani.

a. Ngombe, Simba, Mbuzi, Kondoo.
b. Ngombe, Simba, Mbuzi, Ngamia.
c. Ngombe, Nguruwe, Mbuzi, Kondoo.
d. Ngombe, Mbuzi, Fisi, Kondoo.

(v) Hizi ni aina za miti.

a. Mwembe, Mvule, Mbuni, Maharagwe.
b. Viazi, Mwembe, Mvule, Mbuni, Kahawa.
c. Mwembe, Mvule, Shamba, Kahawa.
d. Mwembe, Mvule, Mbuni, Kahawa.

3
SEHEMU D: TAFSIRI
Alama 15
6. My name is Josephine, am sixteen years old. I come from Mbarara city. I
have four siblings, two boys and two girls; Brandon, Lumbert, Flavia and
Bernadette. I am a student at St. Lawrence Academy, Schools and Colleges in
senior two. At school we study twelve subjects but I like very much Kiswahili
and Biology. At school we play different games like hockey, swimming, football,
netball and basketball. I have a lot of friends at school like Crispus, Bruce,
Patience, Shivan, Emily and Arnold. At home, I help my parents to graze
animals, cook and some times help them as shop attendant in town.
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
........................................................................................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
........................................................................................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
……………………………………………………………….............................................
.........................................................................................................................
........................................................................................................................
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
............................................................................................................…………

MWISHO

You might also like