Jinsi ya kufanya
•
Mgeni
Mialiko na ofa maalumu
Mialiko na ofa maalumu
Let’s say you contact a Host about their place before requesting to book it. The Host can then invite you to book in two ways:
- Invitation to book: Allows you to book for the dates and prices shown when you contacted the Host.
- Special offer: Host chooses a custom price (or other details) and invites you to book with the new details. You’ll have 24 hours to accept the special offer.
Ili kukubali mwaliko wa kuweka nafasi au ofa maalumu:
Kubali mwaliko au ofa kwenye kompyuta
- Gusa Ujumbe kisha ufungue ujumbe kutoka kwa Mwenyeji wako
- Tathmini maelezo ya idhini yako ya awali au ofa maalumu kisha ubofye Weka Nafasi sasa
- Gusa Weka nafasi kisha utathmini taarifa yako ya malipo
- Bofya Thibitisha na ulipe
Kubali mwaliko au ofa kwenye programu ya Airbn
- Gusa Ujumbe kisha ufungue ujumbe kutoka kwa Mwenyeji wako
- Tathmini maelezo ya idhini yako ya awali au ofa maalumu kisha uguse Weka Nafasi sasa

Kubali mwaliko au ofa kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Ujumbe kisha ufungue ujumbe kutoka kwa Mwenyeji wako
- Tathmini maelezo ya idhini yako ya awali au ofa maalumu kisha uguse Weka Nafasi sasa
- Gusa Weka nafasi kisha utathmini taarifa yako ya malipo
- Bofya Thibitisha na ulipe
The special offer will be for the nightly rate, cleaning fees, and any extra guest fees, but it doesn’t include taxes, the service fee, or the security deposit (only certain Hosts can charge a security deposit). You will get a detailed breakdown of the price before you finalize the booking.
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- Mwenyeji
Kutuma ofa maalumu
Ikiwa mgeni mtarajiwa atakutumia ujumbe kabla ya kuweka nafasi, unaweza kumtumia bei mahususi, au ofa maalumu, ndani ya uzi wa ujumbe. Kukaribisha wageni kwa kuwajibika nchini Ufilipino
Tunatoa msaada kwa Wenyeji wa Airbnb ili waweze kujifahamisha majukumu ya kukaribisha wageni na kutoa muhtasari wa jumla wa sheria tofauti, …- Mwenyeji
Jinsi mapunguzo yanavyotumika
Kuna aina tofauti za mapunguzo na promosheni zinazopatikana kwa ajili ya tangazo lako, lakini ni ofa moja tu inayoweza kutumika kwa kila uka…