15 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Machi ni siku ya 74 ya mwaka (ya 75 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 291.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1713 - Nicolas-Louis de Lacaille, mwanaastronomia kutoka Ufaransa
- 1760 - Mtakatifu Yohane wa Triora, padre Mfransisko, mmisionari na mfiadini nchini Uchina
- 1767 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani 1829-1837
- 1830 - Paul Heyse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910
- 1831 - Mtakatifu Daniele Comboni, mmisionari na askofu Mkatoliki nchini Sudan
- 1854 - Emil von Behring, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1901
- 1871 - Charles Howard McIlwain, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1920 - Donnall Thomas, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1990
- 1930 - Martin Karplus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2013
- 1946 - Hezekiah Ndahani Chibulunje, mwanasiasa wa Tanzania
- 1952 - Willy Puchner, msanii kutoka Austria
- 1975 - Eva Longoria, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 44 KK - Julius Caesar auawa kwenye bunge la Senati mjini Roma
- 752 - Mtakatifu Papa Zakaria
- 1962 - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 2004 - John Pople, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 2011 - Nate Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Menigni, Papa Zakaria, Leokrisya, Sisebuto, Luisa wa Marillac, Klemens Maria Hofbauer, Artemis Zatti n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 3 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- On This Day in Canada
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |