28 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Mei ni siku ya 148 ya mwaka (ya 149 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 217.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1848 - Mtakatifu Maria Bernarda Buetler, bikira Mfransisko mmisionari kutoka Uswisi
- 1853 - Carl Larsson, mchoraji kutoka Uswidi
- 1912 - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1973
- 1942 - Stanley Prusiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1997
- 1945 - John Fogerty
- 1968 - Kylie Minogue, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Australia
- 1999 - Cameron Boyce
Waliofariki
hariri- 1750 - Sakuramachi, Mfalme Mkuu wa 115 wa Japani (1735-1747)
- 2003 - Ilya Prigogine, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1977
- 2013 - Mangwair, mwanamuziki kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elikonida, Karauno, Justo wa Urgell, Jermano wa Paris, Wiliamu wa Gellone, Ubaldeska, Paulo Hanh n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |