Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

Chembeuzi X (pia: kromosomu X, kwa Kiingereza X chromosome) ni moja katika jozi la chembeuzi za jinsia za wanyama wengi kujumuisha mamalia, na kwa hivyo binadamu pia, pamoja na chembeuzi Y. Ndizo zinazosababisha mtu kuwa mwanamume au mwanamke, na vilevile wanyama mbalimbali kuwa wa kiume au wa kike.

Scheme of the X chromatid.
Chembeuzi X
X chromosome katika karyogram ya kiume

Wanawake wana mbili za chembeuzi hiyo, lakini wanaume wana moja tu pamoja na ile ya Y. Kwa hivyo baba anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kike kwa kuwa mama ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y inayomfanya mtoto kuwa wa kiume.

Inabeba jeni 2,000 hivi kati ya 20,000-25,000 za binadamu.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chembeuzi X kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.