Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                

John Ronald Reuel Tolkien (3 Januari 18922 Septemba 1973) alikuwa mtaalamu na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Ingawa Tolkien alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Oxford na kutafiti fasihi ya Kiingereza cha kale, anajulikana hasa kwa kuandika vitabu vya bunilizi ya kinjozi ambavyo ndani yake alibuni dunia ya visasili.

J .R .R. Tolkien
J.R.R. Tolkien

Baadhi ya Vitabu vyake

hariri
  • 1937 "The Hobbit" (Mhobiti)
  • 1954-56 "The Lord of the Rings" (Bwana wa Mapete)
  • 1977 "The Silmarillion" (kuchapishwa baada ya kifo chake tu)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J.R.R. Tolkien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.