Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Frodo Baggins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:38, 28 Februari 2023 na Idd ninga (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Frodo by Mark Ferrari

Frodo Baggins ni mhusika katika vitabu vya bunilizi ya kinjozi vilivyoandikwa na J.R.R. Tolkien.

Kwa mbari, Frodo ni mhobiti. Hadithi yake hasa ilisimuliwa katika Bwana wa Mapete. Amerithi Pete Kuu kutoka kwa mjomba wake, Bilbo Baggins, akasafiri kutoka nchi ya Shire, yaani nyumbani kwake, hadi nchi ya Mordor ili kuteketeza pete na kumshinda Bwana mwovu Sauron.