Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Mhobiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:28, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 48 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q74359 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mhobiti, au kwa uwingi wahobiti, ni aina mmoja ya mbari za bunilizi ya kinjozi katika vitabu vya J.R.R. Tolkien. Maarufu hasa ni Bilbo Baggins, shujaa katika Mhobiti, na mpwa wake, Frodo Baggins, shujaa katika Bwana wa Mapete. Kwa lugha za watu, wahobiti pia huitwa wananusu.