Nasaba ya Shang
Mandhari
Nasaba ya Shang ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Inaangaliwa kuwa nasaba ya kwanza ya kihistoria na kudumu tangu karne ya 16 hadi karne ya 11 KK.
Baadhi ya Makaisari wa Shang walikuwa:
Angalia pia
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Shang kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |