Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Oholiabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:07, 8 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2112850 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Oholiabu (kwa Kiebrania אהליאב) alikuwa fundi na msanii wa kabila la Dani (Israeli) anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika kitabu cha Kutoka, sura ya 35 kuanzia mstari wa 34.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oholiabu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.