Safranbolu
Mandhari
Safranbolu ni mji na wilaya iliopo Mkoani Karabük kwenye kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki.
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Safranbolu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |