Mkoa wa Rize
Mandhari
Mkoa wa Rize | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Rize nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 3,920 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 361,353 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 53 |
Kodi ya eneo: | 0464 |
Tovuti ya Gavana | http://www.rize.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/rize |
Rize ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi kati ya Trabzon na Artvin. Mji mkuu wake ni Rize.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Rize umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Ardeşen
- Çamlıhemşin
- Çayeli
- Derepazarı
- Fındıklı
- Güneysu
- Hemşin
- İkizdere
- İyidere
- Kalkandere
- Pazar
- Rize
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Culture and travel Trabzon and Rize Ilihifadhiwa 11 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Rize photo gallery Ilihifadhiwa 27 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Rize kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |