Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Alexia Putellas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexia Putellas akiwa na Barcelona mnamo 2024

Alexia Putellas Segura (alizaliwa 4 Februari 1994)[1], akijulikana zaidi kama Alexia, ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Catalonia,Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa kati au mshambuliaji wa klabu ya Laliga, FC Barcelona na timu ya taifa ya wanawake ya hispania,[1] ambazo zote akiwa kama nahodha. Hapo awali alichezea Espanyol na Levante, pia ameiwakilisha Catalonia. Baada ya kushinda tuzo zote kuu za kilabu na za kibinafsi zinazopatikana kwa mchezaji wa Uropa ilipofika 2022.[2][3]

Anachukuliwa kuwa mmoja wa wanasoka bora wa kike wa kizazi chake, na mmoja wa wacheza kandanda bora zaidi wa wakati wote. Mnamo 2022, ripota wa kandanda ya wanawake Asif Burhan aliandika kwamba "kujitolea kwa Putellas kwa mchezo kumeleta mapinduzi makubwa katika mchezo wa wanawake.[4]

  1. 1.0 1.1 "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-05-28. Iliwekwa mnamo 2024-04-13. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. UEFA.com (2023-11-15). "How brilliant is UEFA, Ballon d'Or award and World Cup winner Alexia Putellas? | UEFA Women's Champions League". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
  3. Asif Burhan. "Alexia Putellas Becomes First Spanish-Born Player To Win Ballon D'Or Twice". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
  4. Asif Burhan. "Intimate Documentary On Alexia Putellas To Premiere On Amazon Prime Video". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexia Putellas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.