Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Aunakari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aunakari (540 hivi - Auxerre, leo nchini Ufaransa, 605 hivi) alikuwa askofu wa 18 wa mji huo kuanzia tarehe 31 Julai 561, akaongoza vizuri jimbo lake kwa kuimarisha maisha ya ibada na sala.

Chini yake kilikamilika kitabu cha mashahidi cha Yeronimo.

Pia aliendesha mtaguso wa Auxerre (578 au 585)[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.