Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Back Home

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Back Home
Back Home Cover
Studio album ya Westlife
Imetolewa Novemba 5, 2007 (2007-11-05)
(See release history)
Imerekodiwa 2007
London, Ufalme wa Muungano
Stockholm, Sweden
Los Angeles, USA
Aina Pop, Pop-Rock, Dance-Pop, R&B, Electropop
Urefu 47:29
Lugha Kiingereza
Lebo Sony BMG
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Westlife
The Love Album
(2006)
Back Home
(2007)
Where We Are
(2009)
Single za kutoka katika albamu ya Back Home
  1. "Home"
    Imetolewa: 29 Oktoba 2007
  2. "Us Against The World"
  3. "Something Right"
    Imetolewa: 4 Aprili 2008 (Southeast Asia, Australia, New Zealand, Europe & South Africa only)


Back Home ni albamu ya nane katika jumla ya albamu za kundi la Westlife ambayo ilitolewa tar. 5 Novemba 2007. Albamu hii inajumuisha nyimbo mpya na baadhi ya nyimbo zimerudiwa. Orodha ya nyimbo katika albamu hii ilitolewa katika tovuti yao ya Westlife tarehe 3 Oktoba 2007. Tarehe rasmi ya kutolewa kwa albamu ilisogezwa mbele na kuwa tarehe 5 kutoka tarehe ya mwazo na kuwa tarehe 12 Novemba 2007. Albamu hii imeuza zaidi ya nakala milioni tano dunia nzima. Albamu hii ilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya mzuku ya Uingereza ya katika wiki ya kwanza ya kutolewa kwake, na kuuza nakala zaidi ya 132, 000 katika wiki ya kwanza, na kuendelea kukaa katika nafasi ya kwanza kwa wiki nane mfululizo.[1][2][3] Pia ilishika nafasi ya tano katika albamu zilizoongoza kwa mauzo nchini Uingereza kwa mwaka 2007 kwa kuuza nakala 854,344. Single ya kwanza kutoka katika albamu hii ni wimbo wa kurudiwa kutoka kwa Michael Bublé ("Home"), ulioimbwa kwa mara ya kwanza na Michael Bublé, na ulitoka tar. 29 Oktoba 2007[4] The song debuted at #3 on the official UK singles chart.[5].

"Us Against The World", ni wimbo kutoka kwa kunidi la Westlife ambao ulikuwa maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Westlife dunia nzima, ulitoka kama single ya pili kutoka albamu hii mnamo tar. 3 Machi nchini Uingereza na Ireland.

Wakati huohuo, wimbo wa "Something Right", ambao wenyewe ulitolewa na spidi ya juu kama single ya pili katika bara la Asia na Ulaya.[6] Wimbo huu pia ulitolewa kama wimbo wa kupakua kwenye wavuti nchini Ireland. Wimbo wa "When I'm With You", wenye miondoko ya R&B, uliweza kuifanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio nchini Indonesia japokuwa haukutolewa kama single.[7] Nyimbo nyingine za kurudia kutoka katika hii ni pamoja na "Have You Ever", wa Diane Warren ambao awali ulirekodiwa na Brandy. "All I Ask Of You", Opera ya Sarah Brightman na Michael Ball uliharibika na hivyo wimbo wa "I'm Already There" wa Lonestar kuwa badala yake.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
Na. Jina Walioshiriki Urefu
1 Home

Choir - Tuff Session Singers, The
Organ - Dave Arch
Recorded By [Drums, Strings] - Ren Swan
Written-By - Alan Chang, Amy Foster-Gillies, Michael Bublé

3:28
2 Us Against the World

Mixed By - Niklas Flyckt
Written By - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha

4:02
3 Something Right

Mixed By - Niklas Flyckt
Written By - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha

3:14
4 I'm Already There

Arranged By [Backing Vocals] - Atlas, Emil Heiling, Quiz & Larossi
Engineer [Choir] - Ian Agate
Keyboards, Programmed By - Andreas Quiz Romdhane & Josef Larossi
Producer, Arranged By, Mixed By, Engineer - Quiz & Larossi
Strings - Stockholm Session Orchestra
Written by - Gary Baker, Frank J. Myers, Richie McDonald

4:18
5 When I'm With You

Engineer - Tim Lewis
Engineer [Assistant] - Anna Ralph
Written by - Jordan Omley, Louis Biancaniello, Michael Mani, Sam Watters

4:12
6 Have You Ever Written by - Diane Warren 4:33
7 It's You

Mellotron - Steve Mac
Organ [Hammond] - Dave Arch
Written by - Steve Mac, Wayne Hector

4:11
8 Catch My Breath

Written by - Steve Mac, Wayne Hector

3:18
9 The Easy Way

Mixed By - Ronny Lahti
Written by - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha

3:35
10 I Do

Organ [Hammond] - Dave Arch
Written by - Steve Mac, Wayne Hector, Reid

4:30
11 Pictures in My Head

Mixed By - Fredrik Andersson
Written by - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha

4:17
12 You Must Have Had a Broken Heart

Conductor [Strings] - Ulf And Henrik Janson
Keyboards - Jörgen Ingeström , Per Magnusson
Mixed By, Engineer - Fredrik Andersson
Producer, Arranged By, Programmed By - David Kreuger, Per Magnusson
Strings - Stockholm Session Orchestra
Written by - Jörgen Elofsson, Nicky Chinn

4:06
13 Home
(Soul Seekerz Remix - Radio Edit)

Only Included On The Japanese Version Of The Album

5.46
14 Home
(Video)

Only Included On The Japanese Version Of The Album

3.28

Historia ya kutolewa

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Tarehe ya kutolewa
Duniani Novemba 5, 2007 (2007-11-05)
Poland Februari 11, 2008 (2008-02-11)[8]

Nchi Ulipata
nafasi
Mauzo Tunukio
Europe[9] 6 1,200,000+ Platinum[10]
Ufalme wa Muungano[11] 1 950,000+ 3xPlatinum
Ireland[12] 1 175,000+ 5xPlatinum[13]
South Korea[14] 1 -
Taiwan[15] 2 -
Zimbabwe 2 -
Estonia[16] 3 -
Hong Kong 3 -
Philippines 7 -

Country Peak
position
Sales Certification
South Africa[17] 12 -
New Zealand[18] 13 7,500+ Gold
Australia[19] 14 -
Norway[20] 18 -
Switzerland[21] 19 15,000+ Gold
Sweden[22] 33 20,000+ Gold
Ujerumani 45 -
Netherlands[23] 48 -
Austria 65 -
Mexico 134 -

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "First day sales figures". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-01. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  2. "UK Music Charts |The Official UK Top 75 albums". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  3. BBC Radio 1 - Chart Show - The UK Top 40 Albums
  4. "Muziek downloaden: Westlife - Back Home". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-02. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  5. BBC Radio 1 - The UK Top 40 Singles
  6. "Something Right in Asia/Europe". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-03-08. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  7. "Creativedisc - Music Weblog". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  8. [1]
  9. European Album Chart
  10. "IFPI Platinum Europe Awards - 2008". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-01. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  11. British official album chart
  12. "Irish album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-05. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  13. Irish music certification awards
  14. "South Korea official album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-26. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  15. "Taiwan album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  16. "Estonian album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-26. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  17. ZAF official album chart
  18. "NZ album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-12. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  19. Australian album chart
  20. "Norwegian album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  21. Swiss album chart
  22. Swedish album chart
  23. Dutch album chart

p