Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Camillo Golgi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Camillo Golgi
Camillo Golgi
Amezaliwa7 Julai 1844
Amefariki21 Januari 1926
Kazi yakedaktari kutoka nchi ya Italia


Camillo Golgi (7 Julai 184421 Januari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza mfumo wa neva. Mwaka wa 1906, pamoja na Santiago Ramon y Cajal alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Golgi alikuwa mhadhiri wa histolojia wa Chuo Kikuu cha Pavia, ambapo alitumia sehemu kubwa ya kazi yake. Jina lake linaendelea kuheshimiwa katika kazi yake yasayansi

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camillo Golgi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.