Donani
Mandhari
Donani (labda Ireland, karne ya 6 - Eigg, Uskoti, 17 Aprili 617) alikuwa abati mmisionari kwenye visiwa vya Uskoti aliyeuawa na maharamia pamoja na wamonaki wenzake 52 katika kuadhimisha sherehe ya Pasaka[1].
Tangu kale yeye na wenzake wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama watakatifu.
Sikukuu yao ni tarehe ya kifodini chao[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Martyrology of Donegal, compiled by Michael O'Clery in the 17th century, records the manner of his death: "Donnan, of Ega, Abbott. Ega [Eigg] is the name of an island in which he was, after his coming from Erin [Ireland]. And there came robbers of the sea on a certain time to the island when he was celebrating mass. He requested of them not to kill him until he should have the mass said, and they gave him this respite; and he was afterwards beheaded and fifty-two of his monks along with him. And all their names are in a certain old book of the old books of Erin, A.D.616." Cfr. O'Clery, Michael (1864). "The martyrology of Donegal: a calendar of the saints of Ireland". Trans. John O'Donovan. Irish Archaeological and Celtic Society. uk. 105.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cogan, Anthony. The Diocese Of Meath. (Vol.1). Dublin:, 1862.
- Farmer, David Hugh. The Oxford Dictionary of Saints. Oxford: Oxford University Press, 1992. ISBN 0-19-283069-4
- Smyth, Alfred P. Warlords and Holy Men, Scotland AD 80-1000. : Edward Arnold, 1984. ISBN 0-7131-6305-4
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |