Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Fofota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nafasi ya fofota ndani ya jino

Fofota (kwa Kiingereza pulp) ni sehemu ya ndani ya jino.

Inafanywa na tishu laini na seli hai, hasa neva na mishipa ya damu. Inaenea katika uwazi uliopo katika dentini ya jino.

Kama enameli ya jino na dentini ina kitundu basi fofota inaathiriwa moja kwa moja na baridi, joto na bakteria ya kinywani na kuleta maumivu makali.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fofota kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.