Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Kate Winslet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kate Winslet

Kate Elizabeth Winslet CBE (alizaliwa 5 Oktoba 1975) ni mwigizaji kutoka Uingereza. Anajulikana kwa uhusika wake kama mwanamke jasiri na mwenye tabia tata katika filamu huru, hasa zile za enzi za zamani, na amepokea tuzo nyingi, ikiwemo Tuzo ya Academy, Tuzo ya Grammy, Tuzo mbili za Emmy, Tuzo tano za BAFTA na Tuzo tano za Golden Globe. Jarida la Time lilimtaja Winslet kuwa miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani mwaka 2009 na 2021. Alipewa cheo cha Commander of the Order of the British Empire (CBE) mwaka 2012.[1]

  1. Lusher, Adam (7 Desemba 2015). "Kate Winslet claims that being English is a one-way ticket to a Hollywood acting career". The Independent. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 26 Septemba 2021. When you are an English actor and you go into another country," she said, "They automatically assume you are fully trained … Which I've played on, believe me.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kate Winslet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.