Kihajong
Mandhari
Kihajong ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wahajong. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihajong nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 63,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihajong iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihajong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihajong Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihajong katika Glottolog
- lugha ya Kihajong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihajong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |