Kikalanga
Mandhari
Kikalanga ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Wakalanga. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikalanga nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 150,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikalanga iko katika kundi la S10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikalanga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikalanga Archived 19 Novemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikalanga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kck
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikalanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |