Kiluba-Kasai
Mandhari
Kiluba-Kasai ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluba-Kasai. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Kasai imehesabiwa kuwa watu milioni sita na laki tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluba-Kasai iko katika kundi la L30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiluba-Kasai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiluba-Kasai Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiluba-Kasai katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lua
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiluba-Kasai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |