Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Kim Il-Sung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Kim Il Sung.

Kim Il-Sung (15 Mei 1912 - 8 Julai 1994) alikuwa kiongozi wa kwanza wa Korea Kaskazini kutoka mwaka 1948 mpaka alipofariki dunia kwa ugonjwa wa moyo.

Kim Il-Sung alianzisha mawazo ya chama Juche. Aliongoza Korea Kaskazini tofauti na Muungano wa Kisovyeti na China.

Wakorea kaskazini bado wanamuita kiongozi wa nje. Kuna zaidi ya wasifu 300 wa Kim Il-sung katika Korea Kaskazini.

Alipofariki mwanae wa kiume Kim Jong-il (1941-2011) alikuwa kiongozi wa Korea Kaskazini mpaka alipofariki naye pia tarehe 17 Desemba 2011.

Hapo mjukuu wake, Kim Jong-un (alizaliwa 1983) akawa kiongozi wa Korea, na kaka yake, Kim Yong-ju (alizaliwa 1920), alikuwa serikalini rasmi.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Il-Sung kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.