Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Kinimadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinimadi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanimadi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinimadi imehesabiwa kuwa watu 2,150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinimadi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinimadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.