Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Kirara Shiraishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirara Shiraishi (白石 黄良々, Kirara Shiraishi,alizaliwa 31 Mei 1996) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alishiriki katika mbio za mita 200 za wanaume katika mashindano ya riadha ya dunia ya mwaka 2019.[1] [2]

  1. "Kirara Shiraishi". IAAF. Iliwekwa mnamo 30 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "200 Metres Men – Round 1" (PDF). IAAF (Doha 2019). Iliwekwa mnamo 30 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirara Shiraishi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.