Kiserer-Sine
Mandhari
Kiserer-Sine ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Gambia inayozungumzwa na Waserer. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiserer-Sine imehesabiwa kuwa watu 1,130,000. Pia kuna wasemaji 31,900 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiserer-Sine iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiserer-Sine kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiserer-Sine
- lugha ya Kiserer-Sine katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/srr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiserer-Sine kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |