Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Kishama-Sambuga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishama-Sambuga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washama na Wasambuga. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kishama-Sambuga imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishama-Sambuga iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishama-Sambuga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.