Location via proxy:   [ UP ]  
[Report a bug]   [Manage cookies]                
Nenda kwa yaliyomo

Konradi wa Konstanz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sahani ya shaba yenye sura ya Mt. Konradi.

Konradi wa Konstanz (900 hivi - 26 Novemba 975) alikuwa askofu wa Konstanz, Ujerumani, kuanzia mwaka 934 hadi kifo chake.

Mtoto wa ukoo maarufu wa mji huo, alitumia mali zake kusaidia Kanisa na maskini huko akichunga vema kundi lake la kiroho [1].

Alitangazwa mtakatifu na Papa Kalisti II mwaka 1123.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • (Kijerumani) Michael Buhlmann: Besitz, Grundherrschaft und Vogtei des hochmittelalterlichen Klosters St. Georgen. In: Quellen zur mittelalterlichen Geschichte St. Georgens. Teil VI = Vertex Alemanniae, Heft 11), St. Georgen 2004
  • (Kijerumani) Michael Buhlmann: Das Kloster St. Georgen und der magnus conventus in Konstanz im Jahr 1123. (= Vertex Alemanniae, Heft 17), [erscheint 2005]
  • (Kijerumani) Helmut Maurer (Hrsg.): Der heilige Konrad – Bischof von Konstanz. Studien aus Anlaß der tausendsten Wiederkehr seines Todesjahres. Freiburger Diözesan-Archiv 95, Freiburg i.Br. 1975 ISBN 3-451-17449-9
  • (Kijerumani) Helmut Maurer: Konstanz als ottonischer Bischofssitz. Zum Selbstverständnis geistlichen Fürstentums im 10. Jahrhundert (Veröffentlichungen des Max-Planck-Institut für Geschichte 39 = Studien zur Germania sacra 12), Göttingen 1973 ISBN 3-525-35348-0
  • (Kijerumani) Helmut Maurer: Der Herzog von Schwaben. Grundlagen, Wirkungen und Wesen seiner Herrschaft in ottonischer, salischer und staufischer Zeit, Sigmaringen 1978 ISBN 3-7995-7007-1
  • (Kijerumani) Helmut Maurer: Konstanz im Mittelalter: I. Von den Anfängen bis zum Konzil (= Geschichte der Stadt Konstanz, Bd.1), Konstanz 2. Auflage 1996 ISBN 3-7977-0182-9
  • (Kijerumani) Regesta episcoporum Constantiensium. Regesten zur Geschichte der Bischöfe von Konstanz (von Bubulcus bis Thomas Berlower, 517-1496), hg. von der Badischen Historischen Commission: Bd.1: 517-1293, bearbeitet von Paul Ladewig und Theodor Müller, Innsbruck 1895
  • (Kijerumani) Vita sancti Chuonradi Constantiensis episcopi in: Georg Heinrich Pertz u. a. (curatore): Scriptores (in Folio) 4: Annales, chronica et historiae aevi Carolini et Saxonici (Monumenta Germaniae Historica (MGH), Hannover 1841, S. 429–445
  • (Kijerumani) Konrad von Konstanz in Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • St. Patrick's Church: Conrad of Constance Archived 29 Desemba 2019 at the Wayback Machine.
  • "San Corrado di Costanza". Santiebeati.it (kwa Kiitaliano).
  • "Saint Conrad of Constance". CatholicSaints.Info (kwa Kiingereza).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.